Numbers 15:4

4 andipo yeye aletaye sadaka yake ataiweka mbele za Bwana sadaka ya nafaka, sehemu ya kumi ya efa
Sehemu ya kumi ya efa ni sawa na kilo moja.
ya unga laini uliochanganywa na robo ya hini
Robo ya hini ni sawa na lita moja.
ya mafuta.
Copyright information for SwhKC